Wasiliana Nasi π
Karibu 246 Online! Tunathamini sana maoni yako, maswali, na ushauri wako. Tuko hapa kuhakikisha unapata msaada wowote unaohitaji kuhusu teknolojia, huduma zetu, au ushirikiano.
Jinsi ya Kutupata π
Kuna njia nyingi za kuwasiliana nasi kulingana na uharaka wa shida yako:
1. Barua Pepe (Email) π§ Kwa maswali ya kikazi, matangazo, au ushauri mrefu, tafadhali tuma barua pepe hapa. π 246onlinesite@gmail.com
2. Mitandao ya Kijamii (Social Media) π Tufuate na tucheki DM kwa majibu ya haraka zaidi:
- Facebook: 246 Online
- Instagram:
@246OnlineSite - YouTube:
(Hakikisha umesubscribe!)246 Online
3. Fomu ya Mawasiliano (Contact Form) Unaweza pia kujaza fomu iliyo hapa chini (au pembeni) na ujumbe wako utatufikia moja kwa moja.
Unahitaji Huduma Maalum? πΌ
Kama unahitaji huduma zetu za kitaalamu, tafadhali taja kwenye kichwa cha habari (Subject) ya email yako:
- Graphic Design / VFX: Kwa ajili ya mabango, logo, Picha na video editing.
- Matangazo: Kwa ajili ya kutangaza biashara yako kwenye blog yetu.
- Ushauri wa Tech: Kwa msaada wa kurekebisha vifaa au software.
Tunakutakia siku njema na karibu sana 246 Online!
Maoni