246 ONLINE
246
Simon Guyashi
Mwandishi — 246 ONLINE
Desemba 17, 2025
246 ONLINE • COMPLETE GUIDE

PC Keyboard Shortcuts Hub

Karibu kwenye maktaba ya 246 ONLINE yenye zaidi ya 500 PC Keyboard Shortcuts. Jifunze kutumia Windows, browsers, Word, Excel, PowerPoint, Google Docs, accessibility tools na productivity shortcuts kwa kasi zaidi bila kutegemea mouse kila wakati.

500+ Shortcuts
10 Parts
100% Complete

💡 Jinsi ya kutumia HUB hii: Kila Part ina shortcuts 50. Chagua sehemu unayotaka kujifunza na bonyeza Fungua Part →. Unaweza kuanza Part 1 au kuruka moja kwa moja kwenye eneo unalolihitaji.

500+ Keyboard Shortcuts
PART 01

Essential PC Shortcuts

#1 – #50

Shortcuts muhimu za kila siku kwa Windows, keyboard navigation, files na matumizi ya kawaida ya PC.

Fungua Part 01
PART 02

Files, Browser & Navigation

#51 – #100

File management, browser shortcuts, navigation na tricks za kufanya kazi kwa haraka zaidi.

Fungua Part 02
PART 03

Word, Excel & PowerPoint

#101 – #150

Shortcuts za Microsoft Office zinazosaidia kuandika, ku-edit, kuhesabu na ku-present kwa kasi.

Fungua Part 03
PART 04

Advanced Productivity

#151 – #200

Shortcuts za advanced PC usage na productivity kwa wanaotaka kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Fungua Part 04
PART 05

Function Keys & Windows

#201 – #250

F1 mpaka F12, Windows shortcuts na system controls zinazoficha nguvu kubwa kwenye keyboard.

Fungua Part 05
PART 06

Word & Excel Power Shortcuts

#251 – #300

Shortcuts za Microsoft Word na Excel kwa editing, formatting, navigation na productivity.

Fungua Part 06
PART 07

Excel, PowerPoint & Browsers

#301 – #350

Shortcuts zaidi za Excel, presentations, browsers na productivity tools.

Fungua Part 07
PART 08

Accessibility & Google Docs

#351 – #400

Accessibility shortcuts, Google Docs na tools zinazorahisisha matumizi ya PC.

Fungua Part 08
PART 09

Advanced Shortcuts

#401 – #450

Shortcuts za advanced navigation na productivity kwa watumiaji wanaotaka kwenda level nyingine.

Fungua Part 09
PART 10

Chrome, YouTube & Windows

#451 – #500

Shortcuts za Chrome, YouTube, Windows na tricks za mwisho za kuongeza speed ya matumizi yako.

Fungua Part 10
Quick Navigation

Usitumie mouse kwa kila kitu. Jifunze keyboard.

Hii ni collection ya 246 ONLINE ya shortcuts zaidi ya 500. Bookmark HUB hii na urudi wakati wowote unapohitaji shortcut fulani.

246
Simon Guyashi
Mwandishi · 246 ONLINE
Anaandika kuhusu AI, PC na usalama wa kidigitali kwa lugha ya Kiswahili, ili teknolojia ieleweke kwa urahisi kwa Watanzania na Waswahili duniani kote.
Jiunge na 246 ONLINE
Pata makala mpya moja kwa moja
Maoni
0
Anonymous inaruhusiwa — hakuna lazima ya akaunti.