Privacy Policy

 Katika 246online.site, tunaheshimu sana faragha ya watumiaji wetu.

Taarifa tunazokusanya

Tunaweza kukusanya taarifa kama:

1. Aina ya kifaa unachotumia

2. Kurasa unazotembelea kwenye tovuti yetu

3. Browser unayotumia

Taarifa hizi hutumika kuboresha huduma zetu.

Cookies

246online.site inaweza kutumia "cookies" ili kuboresha uzoefu wa mtumiaji.

Matumizi ya matangazo

Tunaweza kutumia huduma za matangazo kama Google AdSense ambazo zinaweza kutumia cookies kuonyesha matangazo yanayokufaa.

Kiungo cha tovuti za nje

Tovuti yetu inaweza kuwa na viungo vya tovuti zingine. Hatuna udhibiti wa sera za faragha za tovuti hizo.

Kwa kuendelea kutumia tovuti hii, unakubaliana na sera hii ya faragha.

Post a Comment

0 Comments