Code za siri za Simu.

 

Nambari za Siri za Simu

  1. Kujua kama simu yako inasikilizwa: *#21#

  2. Kujua kama simu yako inafuatiliwa: *#62#

  3. Kujua hali ya usambazaji wa simu: *#67#

  4. Kuzima usambazaji wa simu zote: ##002#

  5. Kujua IMEI ya simu yako: *#06#


Sema unataka code gani hapo kwenye coment sie tunaileta chap. React sambaza link na wenzako wapate

Post a Comment

0 Comments